We are looking for a female TV presenter

created by Fema TV show team |

Make a one minute video of yourself presenting Fema TV Show in kiswahili only. Share it on your social media account and tag @feminahip.

CRITERIA
Sex: Female
Age: 21 to 25 years old

SUBMIT POST
Format: Video only
Duration: 1 Minute
Language: Kiswahili only
Tag: @feminahip

DEALINE
September 7th, 2019

• Mshiriki anatakiwa kujirekodi video ya dakika moja akifungua kipindi cha Fema TV Show kwa lugha fasaha ya Kiswahili.
• Video hiyo imuoneshe mwili mzima.
• Iwapo mshiriki atakayependekezwa yupo mkoani, atapaswa kujigharamia usafiri wa kuja Dar es Salaam kwa ajili ya usaili wa mchujo wa mwisho ili kumpata mshindi.
• Iwapo atachaguliwa, mshiriki atatakiwa kuwepo Dar es Salaam kwa kipindi chote cha uzalishaji wa vipindi vya TV (takribani miezi minne). Sambamba na hilo awe tayari kusafiri katika mikoa mbalimbali ya Tanzania katika mchakato wa kurekodi/uzalishaji wa vipindi vya TV mpaka mwisho wa msimu.
• Washindi katika zoezi hili watatangazwa mwishoni mwa mwezi Septemba, mwaka 2019.